Lava Lava – Desh Desh |
1 | MOLA KAMMUMBA HANA MFANO WEEE MZURI WA SURA NA ROHO NA NJEMA TABIA IYAAAA. UNYAGONI KAFUNDWA KWA MAKUNGWI SOMO WEEE MAHABA KAYAJAZA NDOO YANANIMWAGIKIA IYAAAA NATAMANI NIMTAJE HATA JINA ILA NAFICHA NAFICHA NAIFANYA SIRI YANGU KINA FULANI WALE WAKUSIGINA MKALETA MAPICHA MAPICHA AKATOROKA NDEGE WANGU SI MREFU SI MUFUPI AH EH SI MWEUPE SI MWEUSI AH EH RANGI YAKE NI YA KATIKATI KASEMA KWANGU HAFURUKUTI AH EH KWENGINE ANAOGOPA NUKSI AH EH MI NI WAKE MILELE HANIACHI NDO MAANA NAMPENDA MPENDA NANI KIJANA MMOJA NANI AMENIFIKA KWA ROHO MAKOPAKOPA KOPA NAMPENDA MPENDA NANI KIJANA MMOJA NANI ILA KUMTAJA OOOH NAOGOPA OGOPA KWA JINA NAMUHIFADHI DESH DESH DESH DESH, MSIJE KUNINYAKULIA DESH DESH DESH DESH, KIPENZI CHANGU JAMANI DESH DESH DESH DESH, MKAJA KUNIHARIBIA DESH DESH DESH, PENZI LIKAWA MASHAKANI NANANAA! NNA NNA NANANAAA! NNA NNA! NANANAA! NNA NNA! NAJUA NAJUA ROHO ZINAWAUMA HAMPENDI KUONA MWENZENU NA NAWIRI NAJUA MWENZENU NAJUA MWAKESHA KUJITUMA KUTWA KWA MASANGOMA YANGU KUYATABIRI MLOSEMA NIMEACHIKA HAINIFIKI MIKOSI MOLA NDO MPAJI NYONGO MTAZITAPIKA MCHOMWE JUA LA UTOSI KESHENI KUNIJAJI MWENZENU KILA KUKICHA KABLA KUPEWA MISOSI MASAJI MASAJI TUNAVYOWAKASIRISHA YANI HATA TUKIPOSTI HATAKI NIMTAG ENHEE SI MTU WAMAGAZETI WALA PAGE ZA UDAKU ILO MKAE MJUA HATAKI TAKI EENHE ENHEEE MAMBO YAKE SIRI NYETI POLENI WASHAKUNAKU WALA MSIJISUMBUE KUMSACHI SACHI NAMPENDA MPENDA NANI KIJANA MMOJA NANI KIJANA MMMOJA NANI AMENIFIKA KWA ROHO MAKOPA KOPA KOPA NAMPENDA MPENDA NANI KIJANA MMOJA NANI ILA KUMTAJA OOOH NAOGOPA OGOPA KWA JINA NAMUHIFADHI DESH DESH DESH DESH MSIJE KUNINYAKULIA DESH DESH DEEEESH KIPENZI CHANGU JAMANI DESH DESH DESH DESH MKAJA KUNIHARIBIA DESH DESH DESH PENZI LIKAWA MASHAKANI NANANAA! NNA NNA! NANANAA! NNA NNA! NANANANAA! NNA! NNA! |
Комментарии